Wq/sw/Zaynab Alkali

< Wq‎ | sw
Wq > sw > Zaynab Alkali

Zaynab Alkali alizaliwa katika familia ya Tura-Mazila mwaka 1950. Yeye ni mwandishi wa riwaya wa Nigeria, mwandishi wa hadithi fupi,na mwandishi wa insha.Ni mwandishi wa kwanza wa kike kutoka Kaskazini mwa Nigeria.

Nukuu edit

  • Ni vizuri kuota... maadamu tunaishi, tutaendelea kuota. Lakini pia ni muhimu kukumbuka kuwa ndoto kama watoto wachanga hutungwa lakini sio ndoto zote huzaliwa hai.Baadhi zinatolewa.


Viungo vya Nje edit