Wq/sw/Trent Alexander-Arnold

< Wq‎ | sw
Wq > sw > Trent Alexander-Arnold

Trent John Alexander-Arnold (alizaliwa 7 Oktoba 1998) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa kulia katika klabu ya Liverpool FC na timu ya taifa ya Uingereza.

Trent Alexander-Anold akiwa amekaa benchi.


Nukuu

edit
  • Usilikatie tamaa jambo ambalo haiwezi kupita siku bila kulifikiria.
  • Jiamini mwenyewe na yote uliyonayo. Jua kuwa kuna kitu ndani yako ambacho ni kikubwa kuliko kizuizi chochote.
  • Ota ndoto kubwa, fanya kazi kwa bidii, weka umakini, na uwe karibu na watu wazuri.