Wikiquote ni muunganisho wa nukuu mtandaoni usiolipishwa kutoka kwa watu mashuhuri na kazi za ubunifu katika kila lugha, tafsiri za nukuu zisizo za Kiswahili, na viungo vya Wikipedia kwa maelezo zaidi. Tembelea ukurasa wa usaidizi au jaribio katika sanduku la mchanga ili kujifunza jinsi unavyoweza kuhariri ukurasa wowote hivi sasa; au nenda kwenye Ingia ili kuanza kuchangia katika Wikiquote.