Wq/sw/Leo Tolstoy

< Wq‎ | sw
Wq > sw > Leo Tolstoy

Lev Nikolayevich Tolstoy alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Urusi.

Leo Tolstoy alivyochorwa na Ilya Efimovich Repin (1844-1930) mwaka 1887.

Huhesabiwa kati ya wanariwaya bora wa fasihi duniani. Kati ya masimulizi yake makuu kuna Vita na Amani pamoja na Anna Karenina.

Nukuu edit

  • Kila mtu anafikiria kubadilisha ulimwengu, lakini hakuna mtu anayefikiria kujibadilisha mwenyewe.
  • Ikiwa unataka kuwa na furaha, basi kuwa.