Lady Jaydee (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii[1] kama Lady Jay Dee; amezaliwa mkoani Shinyanga 15 Juni 1979) ni mwanamuziki[2] wa Bongo Flava[3]-Afro pop kutoka nchini Tanzania.[4]
Nukuu
edit- Lady Jaydee
- "Umakini unatakiwa katika kuruhusu vitu gani viende mtandaoni hasa vinavyohusisha maisha yako binafsi"
- https://en.rattibha.com/download/1686189801223946242