Wq/sw/Konstantinos Tsimikas

< Wq‎ | sw
Wq > sw > Konstantinos Tsimikas

Konstantinos Tsimikas (alizaliwa 12 Mei 1996) ni mchezaji wa soka wa Ugiriki ambaye anacheza kama beki wa kushoto katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool na timu ya taifa ya Ugiriki.

Tsimikas akiichezea Liverpool mwaka 2022

Nukuu edit

  • Ninajaribu kutafuta nyakati zangu bora zaidi, najaribu kupambana, kuwa mchezaji niliyekuwa hapo awali, kutoa pasi za mabao, kukimbia, kulinda, kufanya kila kitu uwanjani.
    • Kuhusu kurudi kwake katika ubora alivyo cheza dhidi ya Brentford,soma zaidi.