Wq/sw/Irshad Manji

< Wq | sw
Wq > sw > Irshad Manji

Irshad Manji (alizaliwa 1968) ni Muislamu wa Kanada, mwandishi, mwandishi wa habari, na mwanaharakati.

Nukuu

edit
  • Katika zama za dhahabu za Uislamu, maendeleo mengi sana yalifanywa kiasi kwamba ikawa msingi wa mabadiliko ya Ulaya. Sisi Waislamu lazima tubadilike, hiyo ndiyo tofauti kuu. Hatuwezi kuendelea kuilaumu Marekani au Israel kwa masaibu yetu.