Halima Mdee (alizaliwa Makanya, Wilaya ya Same[1], mkoa wa Kilimanjaro[2], 18 Machi 1978). Ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la Tanzania[3]
Nukuu
edit- Halima Mdee
- “Siasa inaweza kuwa mchezo mchafu pale inapoingiliwa na watu wenye nia mbaya. Katika mazingira safi ya watu kufanya siasa wakiwa na malengo na nia safi hapo ni vigumu kuona siasa ni mchezo mchafu.”