Wq/sw/Frantz Fanon

< Wq‎ | sw
Wq > sw > Frantz Fanon

Frantz Omar Fanon (20 Julai 1925 – 6 Desemba 1961) alikuwa mwandishi wa Kifaransa aliyezaliwa kwenye kisiwa cha Martinique.

Frantz Fanon (1959)

Nukuu edit

  • Kila kizazi lazima kigundue dhamira yake, kiitimize au kiisaliti, kwa uwazi.

Maandishi yake yalilenga hasa kukosoa ukoloni.