Elizabeth Mrema ni kiongozi na mwanasheria wa Bioanuai wa Tanzania, ambaye kwa sasa yuko nje ya nchi, huko Montreal, Canada, ameteuliwa kuwa katibu mtendaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Utofauti wa Kibiolojia (CBD) mwaka 2020.
Yeye ni mwanamke wa kwanza wa Kiafrika kushikilia jukumu hili. Hapo awali alishikilia nafasi nyingi za uongozi katika Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa.[1]
Nukuu
edit- asili si tena bidhaa ya bure kwa wote kupora asili ina thamani ni mali.
- Elizabeth Mrema[1]