Wq/sw/Eliane Umuhire

< Wq‎ | sw
Wq > sw > Eliane Umuhire

Eliane Umuhire ni mwigizaji na mcheshi kutoka Rwanda aliyezaliwa Kigali. Filamu alizoigiza ni pamoja na: Trees of Peace kama Annick, Neptune Frost as Memory na Birds Are Singing in Kigali kama Claudine Mugambira.

NUKUU edit

Walitupa kila mmoja wetu tuzo yake na ni mara ya kwanza walikuwa wakifanya hivyo - kutoa tuzo mbili kwa watu wawili wenye jukumu sawa katika maswala ya uigizaji [1]