Wq/sw/Cristiano Ronaldo

< Wq‎ | sw
Wq > sw > Cristiano Ronaldo

Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro, alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezaji soka wa Ureno. Nafasi yake ni mshambuliaji; kwa sasa anacheza nchini Saudi Arabia katika klabu ya Al-Nassr na timu ya taifa lake.

Ronaldo katika kombe la dunia la mwaka 2018 nchini Ureno
Ronaldo katika kombe la dunia la mwaka 2018 nchini Ureno

Nukuu edit

  • Shati namba 7 ni heshima na wajibu. Natumaini inaniletea bahati nyingi.
  • Sijawahi kujaribu kuficha ukweli kwamba nia yangu ni kuwa bora zaidi
  • Labda wananichukia kwa sababu mimi ni mzuri sana!
  • Sivuti sigara wala sinywi pombe, na mimi si mtumiaji wa pesa nyingi, ninaishi sehemu ya mashambani ya Cheshire na majirani zangu wa karibu ni chindi, ndege na ng'ombe.
  • Tulishindwa kwa sababu hatukushinda.
  • Baadhi ya mashabiki wanaendelea kunizomea na kunipigia miluzi kwa sababu nina muonekano mzuri, tajiri na mchezaji mzuri. Wananionea wivu.